[caption id="attachment_6512" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (mbele kulia) akipokea funguo za kukabidhiwa jengo litakalotumiaka kama Ofisi ya TADB Kanda ya Ziwa kutoka kwa Meneja wa Wakala wa Majengo ya Serikali Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Yohana Mashausi (kushoto). Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella (mwenye kofia) na Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Augustino Matutu Chacha (kulia).[/caption]
Na Mwandishi wetu,
Katika kutimiza ahadi ya Mhe. Rais Dkt. J...
Read More