[caption id="attachment_16259" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo akizungumza na katika mafunzo ya ulinganifu ya viwango vya dawa kwa wadhibiti wa viwango vya dawa Afrika Mashariki hivi karibuni.(Picha na Maktaba)[/caption]
Na: Mwandishi Wetu, MAELEZO
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, kiwango cha ubora na usalama wa dawa nchini kimeongezeka kwa zaidi ya asilimia 95.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo, amemweleza mwandishi wetu hivi k...
Read More