[caption id="attachment_22966" align="aligncenter" width="640"] Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Irenius Ruyobya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) hivi karibuni kuhusu maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yatakayofanyika kesho tarehe 20 Novemba, 2017 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na: Veronica Kazimoto,
Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yatafanyika kesho tarehe 20 Novemba, 2017 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataif...
Read More