[caption id="attachment_31418" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendahi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akiongea katika mkutano na wanahabari jijini Dar es salaam leo (Alhamisi, Mei 10, 2018) kutangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Serikali za Wanafunzi wa Elimu ya Juu (TAHLISO) Bw. George Mnali . Wengine ni Bi. Patricia Mpuya, Meneja Usajili wa RITA na Kaimu Mkuu wa Posta Bw. Hassan Mwangombe (Picha: Eline Maronga, HESLB).[/caption]...
Read More