[caption id="attachment_9238" align="aligncenter" width="750"] Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele, akiongea na waandishi wa habari kuhusu na utaratibu unaohitajika kufuatwa na wadau wa kemikali katika kuagiza kemikali kutoka Nje ya Nchi baada ya kuonekana wadau wengi kutofuata kikamilifu taratibu husika. Wengine kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Usimamizi na Udhibiti wa Kemikali, Bi. Josephine Kalima, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara, Bw. George Kasinga na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Bidhaa,...
Read More