Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na Meneja wa Shule ya Msingi ya Martini Luther ya Mjini Dodoma, Wendo Mmanga baada ya kuwasili shuleni hapo kuhudhuria katika Mahafali ya Kumi ya Shule hiyo, Septemba 2, 2017. Wapili kushoto ni Mkurugenizi wa Shule hiyo, Rabielly Mmanga.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa amewataka watoto wanaojiandaa kufanya mtihani wa darasa la saba mwaka huu, waongeze bidii kwani dunia ya sasa hivi inataka wasomi.
Mama Majaliwa ametoa wito huo jana (Jumamosi, Septemba 2, 2017) wakati akizungumza na w...
Read More