[caption id="attachment_35030" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani (aliyesimama), akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Wizara kwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusu masuala ya umeme, mafuta na gesi, jana Septemba 8, 2018 jijini Dodoma. Wengine pichani (Meza Kuu) kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Hamisi Mwinyimvua, Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu, Mwenyekiti wa Kamati Dustan Kitandula na Katibu wa Kamati Felister Mgonja.[/caption]
[caption id="attachment...
Read More