Na Fatma Salum
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepata Tuzo ya Kimataifa ya Kupambana na Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza (NCDs) kwenye mkutano wa Viongozi wa Juu wa Umoja wa Mataifa (United Nations High Level Meeting on NCDs) unaoendelea mjini New York nchini Marekani.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wizara hiyo, Waziri Ummy Mwalimu alipokea tuzo hiyo jana tarehe 27 Septemba, 2018 kutoka kwa Kikosi Kazi Maalum cha Umoja wa Mataifa cha Kupambana na Magonjwa Yasiyo ya Kuamb...
Read More