[caption id="attachment_46666" align="aligncenter" width="900"] Aliyekuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Bi. Maimuna Tarishi, akimkabidhi taarifa ya makabidhiano ya Ofisi hiyo, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Bi. Dorothy Mwaluko, tarehe, 9 Septemba, 2019, Jijini Dodoma.[/caption]
Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Bi. Maimuna Tarishi, ambaye amehudumu katika ofisi hiyo tangu, tarehe 4 Aprili, 2017, amestaafu rasmi utumishi wa umma, huku akiwashauri watumishi...
Read More