Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete kuhusu ramani ya eneo lenye mgogoro lililoko Boko - Dovya, wilayani Kinondoni katika kikao alichokiitisha ofisini kwake Oysterbay, Dar es Salaam, Agosti 17, 2022. Mgogoro huo umedumu kwa miaka mitatu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe wakati akielezea walivyotekeleza maelekezo ya Waziri Mkuu...
Read More