Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye akikabidhiwa kipeperushi na Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyoi ya Kiserikali inayojishughulisha na kuzuia Uhalifu na Ajali (UAC), Eliot Andrew (kushoto) wakati wa Uzinduzi wa namba 114 ambayo ni ya dharara hususani kutoa taarifa za majanga ya moto, ajali, tetemeko na majanga mengine
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye akiongea wakati wa Uzinduzi wa namba 114 ambayo ni ya dharara hususani kutoa taarifa za majanga ya moto, ajali, tetemeko na...
Read More