Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi. Joseph Nyamhanga, akikagua sehemu ya barabara ya Mela – Bonga (km 88.8), inayojengwa kwa kiwango cha lami mkoani Manyara.
Na. Mwandushi Wetu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Joseph Nyamhanga, amewaagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Dodoma na Manyara kuhakikisha wanatafuta eneo la kujenga kituo cha mizani ili kudhibiti madereva wanaozidisha uzito katika barabara ya Dodoma- Babati yenye urefu wa kilometa...
Read More