Afisa Mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Winfrida Wumbe akizungumza na wanafunzi wa Shule za Sekondari za Kalangalala na Shule ya Sekondari na wa wahitimu wa masomo ya kidato cha sita wakati wa kampeni ya utoaji elimu kuhusu mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi ea Elimu ya Juu kwa mwaka 2020/2021. Mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Geita Mkoani Geita tarehe Julai 27, 2020
Na Ismail Ngayonga
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) hivi karibuni imefungua dirisha la...
Read More