Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiwa na wamiliki wa viwanda na Watendaji Wakuu wa OSHA, WCF NSSF katika ziara ya kufuatilia Sheria za Kazi, Sheria ya Hifadhi ya jamii, Sheria zinazohusiana na Mahusiano kazini pamoja na masuala ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi kwa viwanda vya Mkoa wa Dar es Salaam.
Na: Mwandishi Wetu - Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amefanya ziara mkoani Dar es Sala...
Read More