Na Hafsa Omar - Katavi
Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema Serikali haitasita kusitisha mkataba wa Mkandarasi yoyote ambae ataonekana kusuasua katika kutekeleza majukumu yake na kwenda kinyume na mkataba waliokubaliana nao.
Ameyasema hayo, Julai 7, 2020, wakati alipokuwa akizungumza wa wananchi wa kijiji cha Kenswa Nsimbo, kata ya Katumba,Wilaya ya Mpanda,mkoani Katavi, kabla ya kuwasha umeme kwenye kijiji hicho.
Naibu Waziri aliyasema hayo baada ya kutoridhishwa na kasi ya usambazaji umeme na kampuni ya China Railway Const...
Read More