Ikulu, Chamwino.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya 1 na Mkurugenzi Mtendaji 1, kama ifuatavyo;
Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora.
Kabla ya uteuzi huo, ACP Advera John Bulimba alikuwa Kamanda wa Kikosi cha Polisi TAZARA na anachukua nafasi Bw. Godfrey William Ngupula.
Pili, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Solomon Isack Shati kuwa Mkurugenzi...
Read More