Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa nne kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, anayesimamia Kanda ya Kusini Mashariki mwa Afrika, Bi. Victoria Kwakwa (wa tano kulia), baada ya kumaliza kikao chao katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam. Wa tatu kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Khamisi Shaaban.
Benki ya Dunia imeipongeza Tanzani...
Read More