Na Jacquiline Mrisho.
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki ametoa siku saba kwa Chuo cha Madini kuwasilisha ripoti ya namna watakavyotatua changamoto zilizopo chuoni hapo ili kuboresha elimu katika chuo hicho.
Waziri Kairuki ametoa agizo hilo jana jijini Dodoma wakati wa maadhisho ya Siku ya Madini yaliyofanyika chuoni hapo ambapo wanafunzi walipata wasaa wa kuzungumzia changamoto zao mbele ya Waziri huyo.
Waziri Kairuki amesema kuwa chuo hicho kimekua chuo bora kwa kuendesha mafunzo ya nadharia na vitendo kwa vijana nchini kwa sababu inajuli...
Read More