Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul akiwaongoza wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika maadhimisho ya nane (8) ya siku ya YOGA kimataifa yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru.
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inajali kila kitu kinachomwezesha Mtanzania kuishi kwa amani huku akishiriki michezo na burudani kwa kadri ya uwezo wake.
Mhe. Gekul ameyasema hayo Juni 19, 2022...
Read More