[caption id="attachment_44253" align="aligncenter" width="750"] Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (aliyesimama), akiongea na viongozi hao wa wachimbaji wa madini ya dhahabu Wilaya ya Chunya (hawapo Pichani) katika Mkutano huo uliofanyika wilayani Chunya.[/caption]
Na Sylivester Omary
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Prof. Esther Hellen Jason amewataka wachimbaji wa madini ya dhahabu wa Chunya kuzingatia matumizi salama ya kemikali wanazozitumia katika shughuli zao za uchimbaji k...
Read More