Veronica Simba – Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amesema kuwa mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) umeanza kuwanufaisha Watanzania hata kabla ya kukamilika.
Ameyasema hayo kwa njia ya simu, leo Juni 22, 2020 alipofanya mahojiano na Mwandishi wa Habari hii kuhusu ziara ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliyoifanya Juni 20, mwaka huu kukagua maendeleo ya mradi huo ulioko Rufiji, mkoani Pwani.
Mhandisi Said ameyataja mafanikio hayo kuwa ni ajira kwa Watanzania pa...
Read More