Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Mkurugenzi wa Teknolojia endelevuya utengenezaji magari wa Kampuni ya Scania, Jonas Strömberg wakati alipowasili katika ofisi za Kampuni hiyo zilizopo Stockholm nchini Sweden leo tarehe 1 Juni 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 1 Juni, 2022 ametembelea Makao Makuu ya kampuni ya utengenezaji wa magari ya Scania iliopo Stockholm nchini Sweden.
Katika ziara hiyo, Makamu wa Rai...
Read More