[caption id="attachment_44714" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (Katikati) akizungumza na wanafunzi (hawapo katika picha) ambao pia ni wanamichezo wa Shule ya Sekondari ya Foutain Gate Academy leo Juni 28,2019 alipofanya ziara kituoni hapo kuona namna vijana hao wanavyofundishwa michezo mbalimbali.Kushoto ni Meneja wa kituo hicho Bw.Wendo Makau, na kulia ni Mkuu wa Shule ya Msingi Bw.William Tumshabe.[/caption]
Na Shamimu Nyaki -WHUSM
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na...
Read More