[caption id="attachment_52688" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na uongozi wa Arusha Press Club kuhusu namna bora ya kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Sheria na Kanuni za Habari leo Jijini Dodoma.[/caption]
Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imezitaka ofisi za Umma kutoa taarifa kwa wanahabari kwa kuwa siyo hisani na siyo hiyari, bali ni takwa la kisheria kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzani...
Read More