10 Aprili, 2019
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Morogoro uhakikishe unaboresha eneo la kumbukumbu ya Sokoine lililoko Wami-Dakawa, wilayani Mvomero mkoani Morogoro.
Amewataka Mkuu wa Mkoa huo, Dk. Steven Kebwe, Mkuu wa Wilaya ya Mvovero, Bw. Mohammed Utali na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Bw. Florent Kyombo wasimamie haraka uendeleza...
Read More