[caption id="attachment_30964" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Sumve, Richard Ndasa katika mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Aprili 26, 2018, katikati ni Mbunge wa Ulyankulu, John Kadutu.[/caption]
[caption id="attachment_30965" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Mhe.Martin Ngoga kati...
Read More