[caption id="attachment_51298" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana, na Wenyeulemavu, Jenista Mhagama akiangalia ramani ya Safari za Wafanyabiashara ya watumwa iliyoko katika jumba la makumbusho(Caravan Serai) lililoko Bagamoyo ambalo lilitumiwa na wafanyabiashara hao kama sehemu ya kupumzika baada ya kusafirisha watumwa kwa umbali mrefu kutoka nchi za Kusini mwa Afrika, baada ya kutembelea maeneo hayo kwa ajili ya kukagua maeneo watakayotembelea mawaziri wa Mkutano wa Mawaziri n...
Read More