[caption id="attachment_40994" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –TAMISEMI Mhe.Selemani Jaffo akizungumza na Maafisa Utamaduni wa mikoa na Halmashauri zote nchini (hawapo katika picha) wakati akifunga Kikao Kazi cha Sekta hiyo kilichofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma.[/caption]
Na Shamimu Nyaki -WHUSM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Seleman Jaffo amewaagiza Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zote nchini...
Read More