Na Daudi Manongi, MAELEZO
Mkutano wa kwanza wa kamati ya Mawaziri wanaohusika na Menejimenti ya Maafa kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utafanyika tarehe 18-21 Februari visiwani Zanzibar, 2020 ukiwa na lengo la kuchochea juhudi zilizopo katika kupunguza madhara ya maafa ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Zanzibar, Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama wakati akizungumza na waandishi wa ha...
Read More