[caption id="attachment_40002" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Mary Mwanjelwa akifungua kikao Kazi cha Pili cha Serikali Mtandao kilichofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma, Dodoma[/caption]
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa ametaka huduma za TEHAMA zifike kwa wananchi wa vijijini.
Dkt. Mwanjelwa ameyasema hayo wakati akifungua kikao cha Pili cha Serikali Mtandao cha mwaka 2019 kilichofany...
Read More