Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Desemba, 2018 ameungana na Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kuadhimisha miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwa Baraza hilo.
Maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, Waheshimiwa Mabalozi wa Iran na Misri, viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama, viongozi wa Mkoa wa Da...
Read More