Na: Mwandishi Wetu
Inaelezwa kuwa umeme wa maji, (Hydro power) ndio umeme wenye bei nafuu zaidi
ukilinganisha na umeme unaotokana na vyanzo vingine.
Kwa mujibu wa Naibu Mkurugenzi wa TANESCO anayeshughulikia uzalishaji (Power
Generation), Mhandisi Abdallah Ikwasa, matumizi ya juu ya umeme nchini kwa sasa
ni Megawati 1,060, kati ya hizo, TANESCO kwa kutumia mitambo yake, huzalisha
Megawati zaidi ya 1,000, na kati ya hizo, Megawati 381 zinatokana na umeme
unaozalishwa kutokana na maji, (Hydro powere) kutoka vituo vinne vya umeme w...
Read More