[caption id="attachment_39145" align="aligncenter" width="750"] Kamishna kutoka Tume ya Madini, Profesa Abdulkarim Mruma (kushoto) akifafanua jambo katika kikao cha Tume ya Madini kilichofanyika Desemba 21, 2018 jijini Dodoma. Wengine kutoka kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya na Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula.[/caption]
Leo tarehe 21 Desemba, 2018 Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula ameongoza kikao cha kazi cha Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma. Kikao hicho kilishirik...
Read More