[caption id="attachment_23852" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kitaifa imefanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho hayo yameambatana na uzinduzi wa Matokeo ya Awali ya utafiti wa viashiria na matokeo ya Ukimwi.[/caption]
[caption id="attachment_23853" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uratibu, Sera, Bunge, Ajira, Vijan...
Read More