Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) - Ofisi ya Makamu wa Rais, Prof. Peter Msoffe (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Burn Manufacturing ambayo inajihusisha na utengenezaji wa majiko ya nishati safi ya kupikia nchini Tanzania, Bi. Caroline Amollo wakati wa mkutano wa pembezoni mwa Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP 30) unaofanyika katika Jiji la Belem, Brazil.
Read More