Na Stella Kalinga, Simiyu
Mkoa wa Simiyu kwa sasa haujadili tena masuala ya mauaji ya vikongwe na watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) badala yake umejitikita katika kujadili na kushughulikia maendeleo ya wananchi wake.
Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Anthony Mtaka wakati akifunga Makambi ya Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) yaliyoliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa Kidinda mjini Bariadi.
“Miaka hii miwili tumejenga mkoa ambao hatujadili tena mauaji ya albino, mauaji ya vikongwe wala watu kukatwa mapanga bada...
Read More