Na Mwandishi Wetu
Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) imeendelea kuboresha huduma za usafiri wa majini nchini baada ya kupokea kivuko kipya cha MV.CHATO II HAPA KAZI TU ambacho ujenzi wake umekamilika. Kivuko hicho ambacho kimegharimu kiasi cha shilingi bilioni 3.1 mpaka kukamilika kwake, kimejengwa na kampuni ya kizalendo ya Songoro Marine Transport Boatyard ya jijini Mwanza na kitakuwa kikitoa huduma kati ya Chato Muharamba na Nkome mkoani Geita.
Akizungumza wakati wa sherehe fupi ya kupokea kivuko hicho iliyofanyik...
Read More