Na Immaculate Makilika- MAELEZO, Chato
Idadi ya watalii walioingia nchini imeongezeka kutoka 1,327,143 mwaka 2017 hadi kufikia watalii 1,505,702 mwaka 2018. Ongezeko hilo limechangia kuongezeka kwa mapato yatokanayo na utalii kutoka dola za Marekani bilioni 2.4 mwaka 2018 hadi kufika dola za Marekani bilioni 2.6 mwaka 2019.
Mafanikio hayo yanatokana na jitihada mbalimbali za kutangaza vivutio vya utalii kupitia maonesho ya WTM (Uingereza), ITB (Ujerumani), Conservation and Tourism Fair (Rwanda), Travel Market Top Resa (Ufaransa), Mag...
Read More