[caption id="attachment_26009" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiangalia Mche Mpya wa Korosho, wakati akikagua kitalu cha miche hiyo, katika kampeni ya kitaifa ya upandaji mikorosho bora na mipya milioni 10 msimu wa 2017/2018 mjini Ruangwa, mkoani Lindi. Desemba 31, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa.[/caption]
[caption id="attachment_26010" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akipata ufafanuzi wa Miche Mipya ya K...
Read More