Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita katika sherehe za kuuaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka 2024 zilizoandaliwa na Mbunge wa Mbogwe, Mhe. Nicodemus Maganga ambazo zilihudhuriwa na viongozi mbalimbali mkoani Geita wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa, Martine Shigella.
Read More