[caption id="attachment_21574" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Tisa la Wafanyakazi wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), mkoani Kigoma mara baada ya ufunguzi wa mkutano huo.[/caption]
Na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa, amewapongeza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kwa mikakati wanayotum...
Read More