[caption id="attachment_44728" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba yake ya kuahirisha Bunge, jijini Dodoma Juni 28, 2019 [/caption]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuanzia Julai Mosi mwaka huu Serikali itaanza kutekeleza Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mfumo wa Udhibiti wa Biashara nchini (Blueprint) kwa lengo la kurahisisha mazingira ya kufanya biashara.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Ijumaa, Juni 28) wakati akiahirisha mkutano wa 15 wa Bunge, jijini Dodoma. Amesema wakat...
Read More