Na Neema Mtemvu
SHIRIKA la Viwango Tanzania(TBS) limetoa vyeti na leseni 94 kwa wazalishaji wakubwa, wa kati na wadogo ambao bidhaa zao zimedhibitishwa na Shirika hilo kwa kukidhi matakwa ya viwango vya ubora kwa kipindi cha kuanzia Julai hadi Septemba, mwaka huu.
Kati ya vyeti na leseni 94 zilizotolewa, vyeti 25 vimetolewa kwa wajasiriamali wadogo ambao bidhaa zao zimekidhi matakwa ya viwango.
Akizungumza mwishoni mwa wiki wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti na leseni hizo ,Mkurugenzi wa TBS, Dkt. Yusuf Ngenya, alisema vyeti na leseni...
Read More