WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini wasimamie ipasavyo suala la elimu hususani kwa watoto wa kike na kuchukua hatua kwa watakaowakatisha masomo.
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali inawataka watoto watoe taarifa za watu wanaotaka kuwakatisha masomo yao kwa viongozi wa shehiya (vijiji) waliopo kwenye maeneo yao.
Alitoa agizo hilo jana jioni (Jumapili, Januari 19, 2020) wakati akizungumza na wananchi baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa chuo cha Mafunzo ya Amali cha Daya kilichopo Mtambwe wilaya ya We...
Read More