Na Munir Shemweta, WANMM MWANZA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imevutiwa na utekelezaji mradi wa kupanga na kupima viwanja eneo la East Buswelu katika kata ya Buswelu na Nyamhongo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoa wa Mwanza.
Katika utekelezaji mradi huo, halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ilipewa mkopo usio na riba wa shilingi 1,550,000,000 na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ajili ya kupanga na kupima viwanja 500 na kufanikiwa kuurejesha mkopo huo kwa wakati na kupata faida ya shilingi 195,374...
Read More