[caption id="attachment_52193" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa Jengo la utawala katika Hospitali ya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora baada ya ujenzi wa Hospitali hiyo kukamilka tayari kwa kuanza kutoa huduma, ujenzi wa Hospitali hiyo umegharimu shilingi Bilioni 1.5 hadi kukamilika.[/caption]
Na Frank Mvungi
Serikali ya Awamu ya Tano imetimiza ndoto ya wananchi wa Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora kufikiwa na huduma bora za afya katika maeneo yao.
Akizungumza katika mahojiano maalum wilayani humo, Mkuu wa Wilaya, Gift Msuya amesema kuwa...
Read More