[caption id="attachment_52313" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo kwa viongozi wa dini wakati akitoa hotuba yake kwa viongozi wa dini walioshiriki maombi maalum ya kitaifa yaliyofanyika jana Aprili 26, 2020 kwenye ukumbi wa Chuo cha VETA, Dodoma.[/caption]
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa amewataka Watanzania waendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapa...
Read More