Na. Immaculate Makilika
Viongozi wa dini jijini Dodoma wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa uongozi wake uliotukuka.
Akizungumza leo jijini Dodoma, Askofu wa Kanisa la EAGT Ipagala jijini humo, Evance Chande alisema kuwa Rais John Pombe Magufuli ni kiongozi mwenye uthubuti, mwenye kufanya maamuzi magumu ambayo yamesaidia katika utekelezaji na usimamizi wa miradi mbalimbali kama vile ujenzi wa reli ya kisasa, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere, ununuzi wa ndege mpya 11, ujenzi wa...
Read More