Anwani za Makazi kuwa Msingi wa Utambuzi wa Kila Mwananchi
Na Prisca Ulomi, WHMTH, Morogoro
Serikali imejikita kutekeleza mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi nchi nzima kwa lengo la kuibadilisha Tanzania kuwa ya kidijitali kwa kuwa anwani za makazi na postikodi ni msingi wa utambuzi wa kila mwananchi.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye amewakilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi wakati akifungua mafunzo ya kujenga uelewa kwa viongozi, watendaji na wataalam w...
Read More