[caption id="attachment_22766" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi Meja Jenerali Issa Suleiman Nassoro wa Misri (katikati) na Balozi Abdulrahman Kaniki wa Zambia Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wa Tanzania nchini Misri, Balozi Meja Jenerali Issa Suleiman Nassoro na Balozi Abdulrahman Kaniki wa Zambia, ambapo amewataka wakaimarishe mahusiano baina ya nchi zote mbili.
Amek...
Read More